Leo wadau wangu tuangalie jinsi ya kupamba kwa mito...kuna aina nyingi ya mito na size zake pia..hii mito inapendezesha sana katika upambaji ikiwa utajua kuitumia kulingana na size zake..mfano Ukajua nimito ipi ya kupamba sebuleni kwenye sofas au Kitandani kwako...Leo nina mto mmoja huwa kwa mie huwa na upenda sana kwa decoration, huu mto unaweza tumika kwenye sofa au kitandani pia!
Lumbar Pillows are the most decorative pilllows ambao uki-locate vizuri wakati wakuupamba unamwonekano Mzuri sana!
Hii ni baadhi ya picha za kujifunza jinsi ya ku-decorate na mito mbalimbali ukiwemo huu aina ya Lumbar!
Hivyo basi napenda kusema kuwa Whitewings inatoa huduma ya mito aina zote kwani tunatengeneza wenyewe kwa ujazo mzuri na kuzingatia ubora..!
Post a Comment