1
Wengi tunashindwa kujua ni kwajinsi gani mtu anaweza kujua namna ya ku-locate Tv yake sebuleni...Hivyo basi sehemu nzuri ya kuweza kuweka Tv yako ili iweze kuleta mvuto na kuifanya sebule yako ipendeze nikuzingatia haya machanche yafuatayo:-
Kwanza chunguza upanga vipi viti au sofa za sebule yako kwani kumbuka inatakiwa kila atakaye kaa kwenye sofa yako angalau apate uwezo wakuona Tv screen yako kwa urahisi. Pia angalia je ni sehemu gani ya ukuta  iliyo wazi na kubwa na ndipo itakua sehemu nzuri yakuiweka Tv yako, Zingatia usiweke karibu na location ya dirisha kwani mwanga wa nje unaweza kuwa sio mzuri wakati mtu akitazama Tv.
Pia jaribu kujua kuwa ukiwa na uamuzi wakuiweka Tv screen yako ukutani jaribu kuita fundi ili aweze kujua ni location ipi itakua nzuri zaidi hasa kwa usalama wa Tv yako..na mwisho kwa wale wanaotumia Tv stands jaribu kuchagua Tv Stand kulingana na ukubwa wa Tv yako ilikuleta mwonekano wakupendeza zaidi..!





Post a Comment

 
Top