
Leo wadau wangu tuangalie jinsi ya kupamba kwa mito...kuna aina nyingi ya mito na size zake pia..hii mito inapendezesha sana katika upambaji ikiwa utajua kuitumia kulingana na size zake..mfano Ukajua nimito ipi ya kupamba sebuleni kwenye sofas au Kit…